|
Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme
Zanzibar Ndugu Hassan Ali akimueleza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi
Seif alipofanya ziara fupi kuangalia harakati za wahandisi wa shirika la umeme
kuondosha hitilafu iliyokikumba kituo cha kusambazia umeme mji mkongwe Darajani
mjini Zanzibar.
|
|
Wahandisi wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) wakijitahidi kurejesha
huduma za umeme baada ya kituo cha kusambazia umeme ndani ya mji mkongwe
kilichopo Darajani Mjini Zanzibar kupata
hitilafu.
|
|
Hadi kieleweke! |
on Friday, January 18, 2013
Post a Comment