Leo ni siku ya kuzaliwa ya Mke wa Rais wa Marekani Michelle
Obama. Kwenye picha anaonekana akicheza na mtangazaji Ellen katika
kipindi cha Ellen Degeneres. Michele Obama ambaye ni mama wa watoto
wawili. Leo anatimiza miaka 49 ya kuzaliwa kwake. Michelle ni First Lady Mmarekani mweusi wa kwanza kabisa kuingia
mjengoni (Ikulu).
Source:annapita.com
on Thursday, January 17, 2013
Post a Comment