Mama mmoja nchini Nigeria ameamua kumzika mtoto wake akiwa hai.
Baada ya taarifa kupatikana polisi walienda na kuamua kufukua. Baada ya kufukua
walimkuta mtoto huyo na kumkimbiza hospitali aliposafishwa mtoto huyo alikutwa
hai.
on Thursday, January 24, 2013
Post a Comment