|
Profsa wa Kitivo cha Sheria Chuo
kikuu Dar es Salaam Palamagamba Kibudi (kushoto)
akiwaelezea jambo Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Charlzi Kitwanga
(kulia), kabla
ya Semina ya Kukuza Uelewa Juu ya Masuala ya Matumizi ya Bioteknolojia
ya Kisasa wapili kulia Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula
na Naibu Katibu Mkuu
Ofisi ya Makamu waRais Eng Ngosi Mwihava.
|
|
Profesa Kitivo cha Sheria chuo Kikuu
Palamagamba Kibudi akitoa Mada ya Sheria ya Mazingira kwenye Semina ya Kukuza
Uelewa Juu ya Masuala ya Matumizi Salama ya Bioteknolojia ya Kisasa kwa Uongozi
wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mtaa wa Luthuli Jiji Dar es Salaam.
|
|
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
Samia Suluhu Hassani akiuliza masuala mara baada ya kutolewa Mada Kuhusu
Masuala ya Bioteknolojia ya kisasa kwa uongozi wa Ofisi ya Makamu wa Rais
Kwenye Ukumbi wa Mikutano Jiji Dar es Salaam.
|
|
Dk Emmarold Mnemeya akitowa Mada ya Kukuza
Uelewa juu ya Matumizi Salama ya Bioteknolojia ya Kisasa kwa Uongozi wa Ofisi
ya Makamu wa Rais leo kwenye Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Makamu wa Rais JIji
Dar es Salaam. Picha na Ali Meja
|
on Wednesday, January 23, 2013
Post a Comment