Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,
Alhad Mussa, wakati akiwasili kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es
Salaam, jana Januari 24, 2013 kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za mkesha wa
maulid za kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W.).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimina na Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James
Mbatia na Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, wakati alipowasili kwenye
Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, jana usiku Januari 24, 2013 kwa
ajili ya kuhudhuria mkesha wa sherehe za Maulid za kuzaliwa kwa Mtume Muhamad
(S.A.W).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na waumin wa dini ya Kiislamu, katika
mkesha wa Sikukuu ya Maulid za kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W),
zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, jana usiku
Januari 24, 2013. Kushoto kwake ni ,Sheikh Mohamed Ismail.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Sheikh Mohamed Ismail, wakati akiondoka
kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, jana usiku Januari 24,
2013, baada ya kuhudhuria sherehe za mkesha wa Sikukuu ya Maulid za kuzaliwa kwa
Mtume Muhammad (S.A.W).
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mama Zakia Bilal, akijumuika na waumini wa dini ya kiislamu katika
mkesha wa Sikukuu ya Maulid za kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W),
zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, jana
usiku.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Sheikh Mohamed Ismail, wakati
alipokuwa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, jana usiku
Januari 24, 2013, kwenye sherehe za mkesha wa Sikukuu ya Maulid za kuzaliwa kwa
Mtume Muhammad (S.A.W).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa salamu zake za mkesha wa sherehe za Maulid,
ya Maulid za kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W), wakati wa sherehe hizo
zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, jana
usiku.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange, Mwenyekiti wa NCCR
Mageuzi, James Mbatia, Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Lipumba na waumin wa dini ya
kiislamu wakijumuika kwa pamoja katika sherehe za mkesha wa Maulid ya kuzaliwa
kwa Mtume Muhammad (S.A.W), zilizofanyika jana usiku katika Viwanja vya Mnazi
Mmoja jijini Dar es Salaam.Picha Zote na
Muhidin Sufiani-OMR
Post a Comment