Mke wa Rais na Mwenyekiti
wa Taasisisi ya WAMA , Mama Salma Kikwete akizungumza wakato akifunga kongamano
la Kimataifa la Afya ya Uzazi la siku 3 Katika ukumbi wa mikutano ya kimataifa
wa AICC mjini Arusha leo, Kongamano hilo lilewashirikisha wataalamu wa masuala
ya afya ya uzazi wapatao 800 kutoka mataifa mbalimbali
ulimwenguni.
Pichani toka kulia ni Naibu
Wazirii wa Afya,Dkt. Seif Rashid (Kulia) ,Waziri wa Afya Zanzibar,Dkt. Juma Haji
Duni (kati) na Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mh. Magesa Mulongo wakifuatilia Kongamano
hilo.
Baadhi ya wataalamu wa
kongamano la Kimataifa la afya ya uzazi wakimsikiliza Mke wa Rais na Mwenyekiti
wa Taasisi ya WAMA , Mama Salma Kikwete (hayupo pichani wakati wa kufunga
kongamano hilo leo jijini Arusha, ambapo wataalamu wa masuala ya afya ya uzazi
zaidi ya 800 kutoka ndani na nje ya nchi wamehudhuria.
Waziri wa Wizara ya Afya
Zanzibar,Dkt. Juma Haji Duni akiongea katika kongamano hilo leo mjini
Arusha.kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mh. Magesa Mulongo
Mke wa Rais na Mwenyikiti
wa Taasisis ya WAMA ,Mama salma Kikwete (alievaa kitenge) akiogozana na
watendaji wakuu wakielekea kwenye Ukumbi wa Mikutano wa AICC jijini Arusha
leo.
Mama Salma Kikwete
akifurahia ngoma ya msanja ya kikundi cha akina mama huko
Arusha.
Picha ya pamoja na
watendaji wakuu wa kongamano la Kimataifa la Afya ya Uzazi.Picha zote na
Mwanakombo Jumaa- MAELEZO
Post a Comment