Mkuu wa mkoa wa Singida
Dk.Parseko Kone (katikati) akitoa taarifa yake ya utekelezaji wa ilani ya
uchaguzi ya CCM kwa kipindi cha kuanzia mwaka 2005 hadi mwaka jana.Kushoto ni
katibu tawala mkoa wa Singida,Liana Hassan na kulia ni mkuu wa wilaya ya
Manyoni, Fatuma Toufiq.
Post a Comment