Umati wa watu uliofurika nyumbani kwa marehemu
Yahya Mohamed'Berni' jioni hii
Jeneza la marehemu Bern likiswariwa nje ya
nyumba yao jioni hii
Vilo vikitawa enei hilo
Mwenyekiti kiti wa CCM mkoa wa Morogoro ambaye
pia ni mbunge wa jimbo la Morogoro Kusini lnnocent Karogerezi[Wakwanza kushoto
akijianda kwenda kuzi maeneo ya Kibwa juu ya Milima ya Uluguru.kwenye shati la
draft anaye cheka ni diwani wa Kaya ya Mji Mpya Wencelaus Karogerezi ambaye ni
kaka wa damu wa Innocent.
Wananchi wakiingie kwenye gari jeneza la Mzee
Berni kwenye gari tayari kwa kueleka kijiji kwao Kibwe juu ua milima ya Uluguru
jioni hii
Mchezaji wa zamni wa simba ambaye pia aliwahi
kuifundiha timu hiyom na timu ya taifa Taifa Stars Mohamed Msomari mwenye kanzu
naye alikuwepo kwenye msiba huo jioni hiio
Kocha maarufu nchini na mchezaji wa zamni wa
Reli ya Morogoro na Pan Afrika Ally Jangalu akieleka kuzika kijiji cha kibwe kwa
kutumia usafiri wake wa pikipiki jioni hii
Katibu mkuu wa chama cha makocha mkoa wa
Morogoro ambaye pia mchezaji wa zamani wa Pamba ya Mwanza Edward Hizza
aliyepakizwa akielekea kuzika kwa kutumia boda boda
Bingwa wa disko afrika mashriki na kati Maneno
Ngedele'Super Ndegele' ambaye kwa sasa anaishi Afrika kusini naye alinaswa na
mtandao huu eneo hilo la Msiba jioni hii,densa huo amekuja mkoan i hapa kula
sikuu ya X Mass na Mwaka mpya.
Wachezaji wa timu ya polisi Morogoro ambao kwa
sasa wako kambini wakijianda na mzunguko wa pili wa ligi kuu ya vodacom
unaotarajia kuanza Januari 26 nao walikuwepo kwenye msiba huo, ikumbukwe
wachexaji wengi wa timu ya kikosi cha polisi B kilichoshiriki mshindao ya Uhai
hivi karibuni wametoka kwent timu ya Bern
Umati wa watu ukishuhudia jeneza la Mzee Berni
likiingizwa kwenye gari tayari kwa safari ya kwenda kupunzishwa kwenye nyumba
yake ya milele
Mtandao huu ulimnasa mwenyekiti wa CCM mkoa wa
Morogoro Innocent Karogerezi[Wakwanza kushoto] akiteta jambo kwa vicheko na
wachezaji wa zamani kwenye msiba huo walioshikana mikono kulini ni mchezji wa
zamani wa Tumbaku na Reli ya Morogoro na 'Taifa Stars' John Simkoo na Husein
Ngurungu mchezaji wa zamani wa Tumbaku ya Morogoro na Pan Afrika ya Dar es
salaama ambaye aliweka rekodi ya kuchea timu ya taifa kwa miaka 12 mfurulizo
kwa sasa ni Ngurungu ni dereva wa magari makubwa,anayeangalia kamera ni katibu
mkuu wa chma cha soko mkoa wa Morogoro'MRFA' Hamisi Semka
Jioni
1 hour ago


Post a Comment