Meneja Masoko wa kampuni ya Car and
General, Jonathani Masanja(pili kishoto) akimuonesha Meya wa Manispaa ya
Kinondoni, Yusuf mwenda (kulia) pikipiki ya miguu mitatu aina ya TVS KINGS
itakayotolewa kwa mshindi wa kwanza wa mashindano ya Meya Cup 2013. Kwanza
kushoto ni Mkurugenzi wa kampuni hiyo Venkatesh Jayaraman, Hafla hii ya
utambulisho wa mdhamini mwingine wa Mashindano haya ilifanyika jijini Dar es
Salaam jana. NMB ikiwa ni mdhamini Mkuu wa Mashindano hayo.
Meya wa manisapaa ya kinondoni, Yusuph Mwenda
akiiendesha pikipiki ya miguu mitatu itakayokabidhiwa kwa mabingwa wa
Kinondoni Meya Cup 2013 katika mashindano yanayoshilikisha Mitaa zaidi ya 78
katika Wilaya ya Kinondoni
………………………………………………………..
NMB inawawezesha wateja
wake kufanya biashara kiurahisi zaidi. katika hilo NMB imeungana na kampuni
inayosambaza pikipiki za miguu mitatu zinazojulikana kama TVS KING.katika
kuhakikisha kua kila mteja anakua na usafiri utakaomsaidia kurahisiha au
kuongeza kipato chake NMB imechukua jukumu la kutoa mikopo kwa wateja wake
ambapo mteja atatoa asilimia 30 kwanza ya gharama za pikipiki hiyo ya miguu
mitatu yenye thamani ya shilling milioni tano laki sita
tu.
Wilaya ya Kinondoni
imeandaa mashindano ya mpira wa miguu ambayo wameayaita Meya Cup 2013 na NMB ni
wadhimini wakubwa wamashindano hayo moja ya zawadi zitakazo tolewa kwa mshindi
wa kwanza ni TVS KING.
Akizungumza katika hafla
hiyo Jonathani Masanja, meneja masoko wa TVS KING amesema kwamba zawadi hiyo
itaisadia timu husika kujipatia kipato kwani inafaa katika biashara.na kwamba kama vijana
wakilijua hilo wataweza kujiajiri kwa kupitia TVS KIN
Post a Comment