|
Makamu Mwenyekiti wa
Simba SC, Geoffrey Nyange Kaburu akisaini kwa niaba ya klabu mkataba wa kocha
mpya wa klabu hiyo, Mfaransa Patrick
Liewig
|
|
Katibu wa Simba,
Mtawala akiwaongoza Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Geoffrey Nyange Kaburu na
kocha mpya wa klabu hiyo, Mfaransa Patrick Liewig kusaini. Nyuma ni Meneja
Moshi.
|
|
Makamu Mwenyekiti wa
Simba SC, Geoffrey Nyange Kaburu akibadilishana mikataba na kocha mpya wa klabu
hiyo, Mfaransa Patrick Liewig baada ya kusaini mkataba wa miezi minane leo
katika hoteli ya Spice, Lumumba, Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu wa Simba,
Evodius Mtawala na nyuma ni Meneja wa hoteli ya Spice, Mzee Moshi Omar
Mbury.
|
|
Mwanasheria wa Simba, Allan Maduhu (kulia) akigonga
muhuri mkataba..na bin zubeiry |
on Tuesday, January 1, 2013
Post a Comment