
Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa na mkewe Mama Tunu Pinda wakimuonyesha Mh Dr Chrisant Mzindakaya shamba lao la mahindi liliopo katika kijiji cha kibaoni nyuma ya Waziri Mkuu ni mkewe mama Tunu Pinda na nyuma ya Mzindakaya ni mke wake Theresia Mzindakaya ambao walimtembelea waziri mkuu kijiji kibaoni.(picha na Chris Mfinanga).
Dr. Chrisant Mzindakaya akiangalia mahindi katika shamba la Mh Waziri mkuu Mizengo Pinda.
Muonekano wa Shamba la Mahindi la Mh. Waziri Mkuu Pinda.




Post a Comment