
Katibu Mkuu
Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akizungumza na Mkurugenzi wa Baraza
la hifadhi na Usimamizi wa Mazingira {NEMC] Eng Benventure Baya na Mkurugenzi wa
Mazingira Ofisi ya Makmu wa Rais Dk Julias Ningu na Ofisa Mwandamizi Bw
Timotheo Mande mara baada ya kutembelea Uchimbaji wa Madini ya Bauxite
yanayochimbwa kwenye kijiji cha Marieni Wilaya ya Same Mkoa wa
Kilimanjaro

Katibu Mkuu
Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akizungumza na wanakijiji cha Marieni Wilaya
ya Same Mkoa wa Kilimanjaro alipokwenda kukagua Shughuli za Uchafudhi wa
Mazingira katika kjijihicho jana.

Katibu Mkuu
Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akiangalia Maadini Bauxite yanayochimbwa na
kampuni ya Willy Enterprises alipokwenda kuangalia hali ya Uchafuzi wa Mazingira
katika Kijiji cha Marieni Wilayani Same Mkoa waKilimanjaro


Katibu Mkuu
Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akionyeshwa-ex rey Mashine kwa ajili ya
kupimia Bauxite na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Kuchimba Madini ya bauxite
ya kutengeneza Saruji Eng.Alumbwage Mhagama Katibu mkuu wakati alipofanya Ziara
ya kikazi nakuona hali ya Mazingira kwenye Kijiji cha Marieni wilaya ya Same
Mkoa wa Kilimanjaro


Post a Comment