Loading...
Mh
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Kituo cha Kijiji cha
Matumaini mjini Dodoma ,mara baada ya kutoa msaada wa Luninga bapa (Flat Screen
Televition) katika kituo hicho kinacholea watoto yatima kulia kwa waziri mkuu
ni mkuu wa kituo hicho Father Vicent Boseri na anayefuatia ni Waziri wa Nchi
Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa (TAMISEMI) Mh. Hawa
Ghasia

Post a Comment