Taarifa
za uhakika na mpya kwa sasa ni kwamba kuna uwezekano mkubwa mwigizaji Lulu
akatoka kwa dhamana kesho january 25 2013.
Uhakika
wa Lulu kupata dhamana ulikua jana jumatano january 23 lakini ikawa
imeshindikana kutokana na kuahirishwa kwa sababu jaji alipata dharura na pia
kiwango cha pesa za dhamana kilikua hakijatimia.
Chanzo
cha kuaminika kilichoongea na millardayo kimesema dhamana ya kumtoa Lulu
ambae amekua chini ya ulinzi kuanzia April 2012 ni milioni 20 za
kitanzania.
Lulu
amekua akishikiliwa kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya mwigizaji Steven
Kanumba.....source
mpekuzi
on Thursday, January 24, 2013
Post a Comment