Mwenyekiti wa mkutano kujajidili Changamoto za Muungano Mh. Mohamed Aboud Mohamed Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa pili wa rais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Kulia ni mwenyekiti mwenza Mh Samia Suluhu Hassan Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa rais Muungano wakijadili jambo wakati kwa mkutano huo.(picha zote na Ali Meja Ofisi ya Makamu wa Rais).
Baadhi ya Mawaziri katika mkutano wa kujadili changamoto za muungano mjini Zanzibar leo.
Waziri wa nchi ofisi ya rais Fedha Uchumi na Maendeleo Zanzibar Mh. Omary Yusuph Mzee akizungumza na Waziri wa Fedha Uchumi na Mipango wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. William Mgimwa wakati wa mkutano huo.