Mjumbe wa NEC UVCCM Taifa Jerry Silaa akipigiwa saluti na Green Guard baada ya kuwasili.

Mjumbe wa NEC UVCCM Taifa Jerry Silaa akisalimiana na wajumbe wa UVCCM mkoa wa Mbeya na pembeni yake ni Mwenyekiti wa UVCCM Mbeya Aman Kajuna.
MNEC UVCCM Taifa Jerry Silaa akifungua semina ya siku mbili ya viongozi wa UVCCM mkoa wa Mbeya. Kushoto  ni Aman Kajuna mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Mbeya.
Jerry Silaa akigawa kadi za CCM viwanja vya Nzovwe Jijini Mbeya leo.
Jerry Silaa akihutubia mamia  ya wakazi wa eneo la Nzovwe jijini Mbeya.
 
(Picha kwa hisani ya Kalulunga Blog).