Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MWIGULU NCHEMBA AIPASUA NGOME YA CHADEMA KJINI KIBAHA

 


Naibu Katibu Mkuu CCM Ndugu Mwigulu Nchemba akikaribishwa katika makao makuu ya CCM Kibaha na Mbunge wa Kibaha Mjini Nd. Silvestry Koka.
Mpinzani maarufu aliyejiengua rasmi siku hiyo kutoka CHADEMA Nd. Bugwema Karuti (wapili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kibaha Nd. Bundala Bulendu (kushoto).
Nd. Nchemba akisaini kitabu cha wageni ofisini hapo.

Katibu wa CCM Mkoa wa Pwani Bi. Sauda Mpambalioto akisoma ripoti ya utekelezaji wa chama kwa Naibu Katibu Mkuu CCM Nd. Mwigulu Nchemba.
Nd. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa Msangani Kibaha alipoenda kukagua mradi wa zahanati na kuendesha harambee fupi iliyokusanya kiasi cha shilingi milioni 2.
Baadhi ya mamia ya wananchi wa Kibaha waliojitokeza katika mkutano huo wa CCM
Wakuvenga kutoka kundi la sanaa la vichekesho ya Ze Orijino Komedi naye alinguruma uwanjani hapo
Nd. Nchemba (Kushoto) akimtambulisha Musa Tesha, kijana aliyemwagiwa tindikali na watu wanaosadikiwa kuwa ni wanachama wa CHADEMA katika tukio la uchaguzi Igunga Septemba 2011.
Nd. Nchemba akigawa kadi za CCM kwa wanachama wapya waliorudisha na kuhama chama cha pinzani CHADEMA
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top