Rais wa Chama cha Riadha Tanzania (RT), Antony
Mtaka akimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza wa mbio za Km 10 za MeTL New Years
Eve Midnight Race, Sarah Ramadhani zilizofanyika usiku wa kuamkia jana jijini
Dar es Salaam. (Picha na Habari Mseto Blog)
Rais wa Chama cha Riadha Tanzania (RT), Antony
Mtaka akizindua mbio za Km 10 za MeTL New Years Eve Midnight Race. Kulia ni
Katibu Mkuu wa kwanza wa RT, Thomas Daniel.
Rais wa Chama cha Riadha Tanzania (RT), Antony
Mtaka akikata keki ya mbio za kuukaribisha mwaka mpya. Kulia ni mwakilishi wa
Kampuni ya MeTL iliyodhamini mbio hizo, Cosmas Mtesigwa.
Wanariadha wa mbio za Km 10 za MeTL New Years Eve Midnight
Race wakianza kutimua mbio katika Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay usiku wa
kuamkia leo jijini Dar es Salaam. Mbio hizo ziliandaliwa na Nyro Atheletics Club
na kudhaminiwa na Kampuni ya MeTL.
Mkurugenzi wa Nyro
Atheletics Club, Sarah Ramadhani akizungumza wakati wa mbio hizo.
Rais wa Chama cha
Riadha Tanzania (RT), Antony Mtaka akizungumza wakati wa mbio hizo
Mshindi wa kwanza
kwa upande wa wanaume, Dickson Marwa akipokea zawadi yake. Kulia ni mwakilishi
wa Kampuni ya MeTL, Cosmas Mtesigwa.
Mshindi wa pili kwa
wanawake, Mary Naali akipokea zawadi yake.
Rais wa Chama cha Riadha Tanzania (RT), Antony
Mtaka (wa pili kulia) akifungua muziki na wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya RT
pamoja na waandishi wa habari.
Post a Comment