Rais Kikwete akiweka udongo kaburini
Makamu wa rais DKT_Bilal_akiweka_udongo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo jioni alijumuika na mamia ya wakazi wa mji wa Bagamoyo katika mazishi ya alhaji Shekhe Abdallah Masoud Jembe, mmoja wa mashekhe maarufu na mzee wa mji wa Bagamoyo.Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilal na Mwenyekiti wa Chama cha CUF prof.Ibrahim Lipumba ni miongoni wa viongozi waliohudhuria mazishi hayo.Pichani juu na chini Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na makamu wa Rais Dkt.Momahed Gharib Biala wakiweka udongo katika kaburi la Marehemu Shekhe Abdallah Masoud Jembe wakati wa mazishi yaliyofanyika mjini Bagamoyo leo jioni.
Post a Comment