Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAIS MSTAAFU KARUME AFUNGUA SKULI YA DONGE ZANZIBAR

 


Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja  Pembe Juma Khamis mara alipowasili katika Ufunguzi wa Skuli ya Secondary huko Donge Muanda Kaskazini Unguja.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa Skuli ya Secondary huko Donge Muanda Kaskazini Unguja.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akikunjuwa Kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Skuli ya Secondary huko Donge Muanda Kaskazini Unguja.
Mke wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Mama Shadya Karume akitia saini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuhudhuria Ufunguzi wa Skuli ya Secondary huko Donge Muanda Kaskazini Unguja.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akipanda Mti katika Uwanja wa Skuli mara baada ya kufungua skuli hio ya Secondary huko Donge Muanda Kaskazini Unguja.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akikagua baadhi ya madarasa ya skuli ya Secondary ya Donge Muanda ilioko huko Kaskazini Unguja.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akitoa hotuba yake ya kufungua skuli ya Donge Muanda ilioko huko Kaskazini Unguja ikiwa ni shamra shamra za miaka 49 ya Mapinduzi.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume katika picha ya pamoja na Maofisa mbali mbali katika hafla ya ufunguzi wa skuli ya Donge Muanda ilioko huko Kaskazini Unguja ikiwa ni shamra shamra za miaka 49 ya Mapinduzi. PICHA NA YUSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top