Mwanamziki anayesifika dunia kwa kutumia kiuno chake
Shakira amefanikiwa kupata mtoto wa kiume.
Mzazi mwenzie akiwa ndio mtu wa kwanza kuanika habari
hizi alitumia account yake ya twitter kuandika "mtoto wetu wa kiume amefanikiwa
kuzaliwa... Asanteni kwa pongezi...."
on Monday, January 7, 2013
Post a Comment