Askari wa Jeshi la Wananchi
Tanzania (JWTZ) wakipita kwa ukakamavu mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein kutoa heshima kwake na Viongozi
wa Juu wa Kiserikali waliohudhuria Maadhimisho ya siku ya mapinduzi
Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,
Dkt. Ali Mohamed Shein, akikagua Gwaride wakati wa Sherehe za Mapinduzi,
zilizofanyika leo kwenye Uwanja wa Amani jini Zanzibar
zilizofanyika leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete,alipowasili katika Uwanja wa Amaan katika Kilele cha Sherehe za Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zilizofanyika leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar DK.Amani Abeid Karume,alipowasili katika Uwanja wa Amaan katika Kilele cha Sherehe za Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zilizofanyika leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais
Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Salmin Amour, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa
Amani Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kuhudhuria katka sherehe za Mapinduzi ya
Zanzibar
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Ameir Pandu Kificho, wakati
alipowasili kwenye Uwanja wa Amani Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kuhudhuria
katka sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Amani
Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kuhudhuria katka sherehe za Mapinduzi ya
Zanzibar.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Salmin Amour, wakati
alipowasili kwenye Uwanja wa Amani Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kuhudhuria
katka sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar.
Maandamano
yakipita mbele ya Jukwaa kuu....
Baadhi
ya Viongozi waliohudhuria sherehe hizo.......
Maandamano
ya waendesha pikipiki wa Unguja yakipita mbele ya Jukwaa kuu...
Wananchi
wakipita kwamaandamano mbele ya Jukwaa Kuuu......
Vijana
wakipita mbele ya Jukwaa Kuu na picha za viongozi....
mchezo....
Baadhi
ya viongozi..jukwaa kuu.....
Gwaride
likipita mbele ya jukwaa kuu......
Sehemu
ya wananchi.....
Mwenyekiti
wa UVCC Taifa akipita na wapanda pikipiki..
Makomandoo
wakitoa heshima mbele ya jukwaa kuu...
Gwaride....
Msanii Halikuniki akiongoza
Kikundi cha wasanii cha Cha Beni Maarufu(Mbwakachoka) kikipita mbele ya mgeni
rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed
Shein,(hayupo pichani) katika sherehe za kutimia miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu
ya Zanzibar,zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium jini
Zanzibar
Wafanyakazi wa
Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,(hayupo
pichani) katika sherehe za kutimia miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar,zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini
Zanzibar.
Kikundi cha wasanii cha
Mbwakachoka kikipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika sherehe za
kutimia miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,zilizofanyika leo katika
Uwanja wa Amaan Studium Mjini Zanzibar.
Baadhi ya wananchi wakipita
kwa Maandamano mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la
Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika sherehe za kutimia miaka
49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan
Studium Mjini Zanzibar.
Post a Comment