MHE.
BALOZI AKIGONGANISHA GLASS ZA VINYWAJI NA WATANZANIA WAISHIO NCHINI ZIMBABWE
KUASHIRIA KILELE ZAMWAKA MPYA WA 2013 ZILIZOFANYIKA NCHINI HUMO
JANA NA
KUHUDHURIWA NA WATANZANIA PAMOJA NA MAOFISA MBALIMBALI WA UBALOZI WA tANZANIA
NCHINI ZIMBABWE.
WATANZANIA WAKIJUMUIKA PAMOJA KUSHEHEREKEA MWAKA
2013. ALIYEKETI KATIKATI NI BALOZI
ADADI RAJABU, UPANDE WA KULIA KWAKE NI MWENYEKITI WA
WATANZANIA WANAOISHI
HAPO ZIMBABWE BW. APATAE FATACKY WAKISHIRIKIANA NA
WATANZANIA WENGINE
KUUKARIBISHA MWAKA MPYA.
WATANZANIA MBALIMBALI WAKIWA KATIKA SHEREHE
HIYO.
WADAU
WA EDMARK-TANZANIA WALISHIRIKI SHEREHE ZA MWAKA MPYA NA KUWASILISHA MADA KUHUSU
CHAKULA LISHE NCHINI ZIMBABWE
Post a Comment