Kundi A: Kipa
Bora
Mwandini Ally- Azam FC,
Juma Kaseja- Simba, Shaaban Kado- Mtibwa Sugar, Ally Mustapha-Yanga, Jackson
Chove-Coastal Union, Deogratius Munishi- Azam FC
Kundi B: Beki
Bora
Nassor Said – Simba, Nadir
Haroub – Yanga, Agrey Morris- Azam FC, Amir Maftah- Simba, Kelvin Yondan-Yanga
na Shomari Kapombe-Simba.
Kundi C: Kiungo
Bora
Shaban Nditi –Mtibwa, Frank
Domayo- Yanga, Mwinyi Kazimoto-Simba, Amri Kiemba-Simba, Chande Mgoja- Mgambo
JKT na Abubakar Salum-Azam FC.
Kundi D: Mshambuliaji
Bora
John Bocco – Azam FC,
Mrisho Ngassa – Simba, Hussein Javu -Mtibwa FC, Amiry Omary-JKT Oljoro, Simon
Msuva-Yanga, Nsa Job-Coastal Union.
Kundi E: Mchezaji
anayechipukia
Mudasir Yahya-Azam FC,
Ramadhan Singano-Simba, Edward Christopher-Simba, Manyika Peter Manyika- Mgambo
JKT, Miraji Adam-Simba na Chande Mgoja- Mgambo JKT
Kundi F: Mchezaji Bora wa
Kike
Ester Chabruma-Sayari
Queens, Mwanahamisi Omar-Mburahati Queens, Mwapewa Mtumwa-Ever Green, Fatuma
Mustafa-Sayari Queens, Asha Rashid-Mburahati Queens na Sophia
Mwasikili-Luleburgaz Spor Kulubu- Uturuki.
Kundi H: Mchezaji Bora wa
mwaka 2012
Mchezaji atakayetwaa tuzo
hii atatoka katika makundi yaliyotajwa hapo juu hii ikiwa na maana kwamba
kuanzia kundi A-E. hii ni kumaanisha kuwa wanawake hawataingia kwenye kundi hili
wala kwa sababu tayari wanayio tuzo yao tayari kama inavyoonekana katika
kipengele F.
Kundi I: Mchezaji Bora
Kigeni
Haruna Niyonzima-Yanga,
Kipre Tchetche-Azam FC, Emmanuel Okwi-Simba, Felix Sunzu-Simba, Hamis
Kiiza-Yanga na Jerry Santo-Coastal Union.
TUZO ZA
HESHIMA
Kundi H: Mchezaji bora wa
zamani
Madaraka Suleiman – Simba,
Edibily Lunyamila-Yanga/Simba/Twiga FC,
Mohamed Mwameja-Simba,
Yusuf Macho-Simba/Kagera Sugar, Zamoyoni Mogela-Simba/Yanga na Kenny
Mkapa-Yanga.
Kundi I: Maendeleo soka la
Wanawake (tuzo mbili Mwanamke na Mwanaume)
Stephania Kubumba-Sayari,
Arafa Tamba-Mburahati Queens, Fatma Makambara-Sayari, Pili Kambangwa- Mchangani,
Joha Halfan-Vijana Queens, Amin Bakhresa, Frenk Mchaki na Idd
Azan.
Kundi J:Mwanasiasa wa
Afrika aliyesadia maendeleo ya michezo
Benjamin Mkapa-Tanzania,
Daniel Arap Moi-Kenya na Joachim Chisano-Msumbiji
Katika kipengere hiki ni
kwamba kilichoangaliwa ni namna gani mwanasiasa mstaafu alivyweza kusaidia
michezo kwa ujumla ikiwemo soka. Hapa inaangaliwa ujewekaji wa miundo mbinu,
kama ujezi wa viwanja vya michezo, mafanikio katika klabu na timu za taifa
katika nchi ambayo amekuwa akiiongoza.
Pia kipengere hiki pia
kinaangalia katika kipindi kisichozidi miaka 10 ya utawala akiwa kama mkuu wa
nchi husika.
Baada ya kufuatilia kwa
takriban mwaka mmoja katika nchi zilizopo jirani na Tanzania, imeonekana wazi
kuwa viongozi hao wastaafu ndiyo wenye waliofikia viwango ambavyo kamati
ilivihitaji.
Post a Comment