Mashabiki
wa Dar Live wakiwa na furaha ya kuuona mwaka mpya na burudani ya
taarab.
Kundi
la Kings Modern Taarab likikonga nyoyo za mashabiki kabla ya kuwapisha T
Moto.
Kundi la T Moto
likizindua albam yake ya ‘Domo la Udaku’.
Mkurugenzi wa T Moto,
Amini Salmini (kushoto) na muimbaji wa kundi hilo, Jokha Kassim (aliyevalia
shela kama bi harusi) wakiingia jukwaani
kimadaha.
Wapambe walioshika
shela kwa nyuma wakinogesha hafla hiyo.
Jokha
akikamua.
Wacheza kiduku nao
wakimrusha roho ‘bi harusi’ kwa pembeni.
Uzinduzi wa albam
ukiendelea.
Ni
shangwe tupu ndani ya Dar
Live.
‘Bi. Harusi’ akiondolewa jukwaani
baada ya kumaliza kufanya makamuzi.
Muimbaji mpya wa T Moto
aliyetokea Kings Modern Taarab, Ustaadh Issa Ally,
akikamua.
—
Post a Comment