
Mswada huo unatarajiwa kuwasilishwa Bungeni wakati wowote baada ya kupitishwa katika ngazi za juu za Serikali.
Mswada unaotarajiwa kuwasilishwa ni ahadi ya Serikali tangu mwaka 2007. Serikali ipo tayari kupokea hoja mbalimbali baada ya kuwasilisha mswada huu Bungeni kwa maana ya kuboresha ikiwemo Haki ya Kupata Habari.
Serikali inawataka wadau wa habari na watanzania kuendelea kushirikiana na Serikali kwa kuhakikisha kwamba Mswada wa Kusimamia vyombo vya Habari unakamilika na kuwa sheria lengo likiwa ni kujenga misingi ya demokrasia na utawala bora.
24/1/2013
Post a Comment