|
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza
na Uongozi wa Juu wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania Tasaf ofisini
kwake Vuga Mjini Zanzibar. Ujumbe huo na maku walijadili awamu ya tatu
ya Tasaf ambayo inalenga zaidi kwenye miradi ya elimu maji safi na afya. |
|
Ujumbe wa Tasaf Taifa kutoka Makao Makuu jijini Da es salaamu ukiongozwa na
Mkurugenzi wake Bwana Ladislaus Mwamanga, ukizungumza na Makamu wa Pili wa Rais
wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar. |
|
Majadiliano
yalijikita zaidi kwenye awamu ya tatu ya mradi huo huku wakisifu
mafanikio ya awamu mbili zilizopita kwa mradi huo. Picha na Othman
Khamis Ame |
on Monday, January 21, 2013
Post a Comment