Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TASWIRA KUTOKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA


 


Waziri wa nchi, Ofisi ya ya Rais (mahusiano na Uratibu) na Mbunge
wa Bunda Mhe Steven Wasira (kulia) akikumbatiana na Mbunge wa Arusha mjini Mhe Godbless Lema katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma
Baadhi wa wabunge wakielekea katika ukumbi wa mkutano Bungeni mjini Dodoma
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mhe Freeman Mbowe (kulia) , Mhe Godless Lema (katikati- Arusha mjini) pamoja na Mbunge wa Musoma Mjini, Mhe Vicent Nyerere wakielekea katika Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma. Mbunge Lema amerudi tena Bungeni baada ya kushinda kesi yake
Wabunge wa Iramba Magharibi Mhe Mwingulu Nchemba- CCM (kulia), Mhe Joseph Selasini( Mbunge wa Rombo- CHADEMA ), na Mbunge wa NCCR-
MAGEUZI, Mhe Moses Machali wakiwa katika viwanja vya Bunge leo mjini Dodoma(Picha zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top