Magari 18,pikipiki 7
yateketezwa kwa moto.vyote vikiwa ni mali za halmashauri ya masasi na baadhi ni
vya watumishi wa halmashauri hiyo.
Polisi wamezidiwa na wamejifungia kituoni wanarusha mabomu yao tokea huko walikojificha maana nje hakutamaniki. Na wameshateketeza nyumba ya mama Anna Abdallah.
Taarifa hizi ni kwa mujibu wa Blog ya MTWARA KUMEKUCHA …...
Post a Comment