|
Nahodha
wa Simba SC, Juma Kaseja akitoka Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere,
baada ya kuwasili wakitokea Oman walipoweka kambi ya wiki mbili ya
kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.

wa Simba SC, Juma Kaseja akizungumza na shabiki wa timu hiyo, Uwanja wa
Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam jioni hii baada ya kuwasili
wakitokea Oman walipoweka kambi ya wiki mbili ya kujiandaa na mzunguko
wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
|
|
Wachezaji wakmiwa kwenye basi lililowapakia kuwapeleka kambini |
|
Mwanachama wa Simba, Makoye akimlaki Kocha Mfaransa Patrick Liewig |
|
Kipa
wa Simba SC, Abbel Dhaira akitoka Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere,
baada ya kuwasili wakitokea Oman walipoweka kambi ya wiki mbili ya
kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
|
|
Kiungo
wa Simba SC, Mussa Mudde akitoka Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere,
baada ya kuwasili wakitokea Oman walipoweka kambi ya wiki mbili ya
kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
|
|
Mshambuliaji
wa Simba SC, Felix Sunzu akitoka Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere,
baada ya kuwasili wakitokea Oman walipoweka kambi ya wiki mbili ya
kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
|
|
Mudde bila shaka anakuja kufungua duka.... |
|
Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geoffrey Nyange 'Kaburu' akimlaki Mrisho Ngassa |
|
Kocha Msaidizi wa Simba, Jamhuri Kihwelo akitoka kwa furaha, hapa alisema; "Tumerudi sasa maangamizi tu". |
|
Kaburu akimlaki Komabil Keita |
|
Nahodha Msaidizi wa Simba, Shomary Kapombe akiwasili |
|
Kipa wa zamani wa Simba, Iddi Pazi 'Father' kulia akiwa na Julio Uwanja wa Ndege SOURCE BIN ZUBEIRY |
on Wednesday, January 23, 2013
Post a Comment