Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano akimsikiliza kwa Makini
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba Sheria na Utawala alipokuwa
akizungumza na ujumbe wa Ofisi ya Makamu wa Rais kuhusu Masuala ya
Bajeti ya Mwaka 2012/2013 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Tume ya Haki za
Kibinadam Mtaa wa Luthuli Jiji Dar es Salaam.
Mwenyekita
wa Kamati ya Bunge Katiba Sheria na Utawala Pindi Hazara Chana
akizungumza na Wajumbe kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais kuhusu Masuala ya
Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka ,2012/2013 kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya
Makamu wa Risi Muungano Samia Suluhu Hassan,Naibu Waziri Ofisi ya
Makamu wa Rais Charls Kitwanga ,Katkbu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi
Salula.kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Tume za Haki za Kibinadam Mtaa wa
Luthuli Jiji Dar es Salaam.Picha na Ali Meja
Post a Comment