|
Rais wa
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Chillah Tenga ametangaza rasmi
kutogombea tena uongozi wa shirikisho hilo, baada ya kulitumikia kwa miaka
minane. Pichani ni Tenga mwenye umri wa miaka 58 akizungumza na Waandishi wa
Habari kwenye ukumbi wa mikutano wa TFF mchana wa leo.
|
on Monday, January 14, 2013
Post a Comment