Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza
laMapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya
uzinduzi
wa Skuli ya Umoja Uzini Sekondari,Wilaya ya Kati
Unguja,katika
shamra shamra za kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi
Matukufu
ya zanzibar,(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali
Juma
Shamuhuna.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
laMapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kama ishara ya uzinduzi
wa Skuli ya Umoja ya Sekondari ya Uzini,Wilaya ya Kati Unguja,katika
shamra shamra za kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi
Matukufu ya zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
laMapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa tatu kulia) akifuatana na Mwalimu
Mkuu wa Skuli ya Umoja ya Uzini,Sekondari Yussuf Ali Mohamed ,(wa pili
kulia) alipokuwa akitembelea sehemu za Vyumba vya kusomea katika skuli
hiyo baada ya kuifungua rasmi jana,ikiwa ni shamra shamra za kilele
cha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
laMapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa tatu kushoto) akipata maelezo
kutoka kwa Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Umoja Uzini,Yussuf
Ali Mohamed,(katikati) wakati alipotembelea moja ya darasa la kusomea
baada ya kuifungua rasmi Skuli hiyo jana,ikiwa ni shamra shamra za
kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]


Post a Comment