Kwanza kabala sijaenda mbali zaidi napenda niseme kwamba hii ni dhana ya kisaikolojia, ambayo hukupa fikra ya kimchezo zaidi unapokuwa na mkeo, pia hukupa ujasiri na ushujaa wa kuutawala Mchezo, ni nzuri kiupande mmoja, lakini haina 100% ukweli. Performance yako inatokana na kujiandaa na kuwa kimchezo zaidi.
Kama nilipoeleza hapo awali kuhusu vyakula kwa ajili ya afya ya mapenzi,
nilizungumzia "nyama" (Red meat) ikichomwa huongeza mafuta na protein ambayo
uhitajika zaidi kipindi cha mchezo. Pweza kama pweza, huangukia upande huu pia,
huleta mafuta na protein, kinachochangia zaidi ni ile imani uliyo kichwani
kwako, hii hufanana na mwanaume aliekunywa vidonge vya kuongezea nguvu za kiume,
mathali "Enjoy" au Erecta 2.5, Huwa na uhakika wa kufanya vizuri mchezoni kama
mwanafunzi aliyeingia katika chumba cha mtihani akiwa na "Chabo/Nyenzo/Kibomu"
obvious atakuwa na asilimia kubwa ya ushindi.
Kwa mfululizo huu hata karanga mbichi na maziwa huwa na athari za kufanana na vitu tulivyoviongelea hapo juu.
Kwa mfululizo huu hata karanga mbichi na maziwa huwa na athari za kufanana na vitu tulivyoviongelea hapo juu.
Post a Comment