Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

UZINDUZI WA SHEREHE ZA MIAKA 36 YA KUZALIWA CCM,VIWANJA AFISI KUU YA CCM KISIWANDUI



Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akivalishwa skafu na Kijana Chipukizi,Pili Hassan Suluhu, wakati alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo asubuhi,kwa ajili ya Uzinduzi wa Sherehe za Madhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM.
Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, na Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Iddi,mara alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar, kuzindua sherehe za Maadhimisho ya miaka 36 ya Kuzaliwa kwa CCM,(kulia) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Borafya Silima.
Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi,waliohudhuria katika Uzinduzi wa Sherehe za Madhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM,zilizofanyika leo katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar.
Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiongozana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,wakielekea katika jengo la Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,kwa ajili ya kuweka saini kitabu cha wageni,wakati wa Uzinduzi wa Sherehe za Madhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top