Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO


Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara (kulia) akibadilishana mawazo na Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Angellah Kairuki (katikati) pamoja na Mbunge wa Viti maalumu Ester Bulaya, katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma, leo.
Mwanasheria Mkuu Mkuu wa Serikali Mh. Jaji Frederick Werema (kulia) akibadilishana mawazo na Naibu Wazir wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makalla, leo Bungeni mjini Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria Mathias Chikawe (kulia) akizungumza na Mbunge wa Korogwe Mjini, Yusuph Abdallah Nassir, katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma, leo.
Mbunge wa Iramba Magharibi Mwingulu Nchemba (kulia) akizungumza na Mbunge wa Arumeru Mashariki kupitia CHADEMA, Joshua Nasari, kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma, leo.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Shukuru Kawambwa (kushoto), Mbunge wa Viti Maalumu, Margaret Sitta (wa pili kushoto) na Waziri wa fedha William Mgimwa (mwenye miwani) pamoja na Mbunge wa kuteuliwa James Mbatia (kulia) wakibadilisha mawazo nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo , baada ya Mbunge James Mbatia kuwaslisha hoja yake binafsi kuhusu Udhaifu uliopo katika sekta ya Elimu nchini.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Shukuru Kawambwa, akionyesha kimoja kati ya vitabu vinavyotumika mashuleni alipokuwa akijibu hoja mbalimbali zinazohusu elimu baada ya Mbunge wa kuteuliwa wa NCCR- Mageuzi, James Mbatia, kuwakilisha hoja yake binafsi ya Udhaifu uliopo katika sekta ya elimu nchini. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top