Meneja wa Vodacom Foundation Grace Lyon akiongea na baadhi ya kinamama wajasiriamali wa kijiji cha Luhembe Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro,waliofika katika ofisi za kijiji kwa ajili ya kukopeshwa pesa na Vodacom kupitia mradi wake wa “Mwei” unaotoa mikopo isiyokuwa na riba kwa wajasiriamali wanawake wadogo na kuzirudisha kwa njia ya M-Pesa zaidi ya wanawake 154 wamenufaika na mkopo huo kijijini hapo
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Elias Tarimo katikati akisaini kitabu cha wageni wa kijiji cha Luhembe mara alipofika katika ofisi za kijiji hicho kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wakina mama wajasiriamali wa kijiji hicho iliyotolewa na Vodacom Tanzania,kupitia mradi wake wa “Mwei” unaotoa mikopo isiyokuwa na riba na kurushwa kwa njia ya M-Pesa,wanaoshuhudia kushoto ni Afisa wa Vodacom Foundation Ally Mbuyu na kulia ni Meneja wa mfuko huo Grace Lyon
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Elias Tarimo wapili toka kulia akimkabidhi fedha Bi.Asia Kondo ambae ni mjasiriliamali wa kijiji cha Luhembe alipofika katika hafla ya kutoa mikopo kwa wakina mama wajasiriamali wa kijiji hicho iliyotolewa na Vodacom Tanzania,kupitia mradi wake wa “Mwei” unaotoa mikopo isiyokuwa na riba na kurudishwa kwa njia ya M-Pesa,wanaoshuhudia kulia ni Meneja wa Vodacom Foundation Grace Lyon na watatu ni Afisa wa Vodacom Foundation Ally Mbuyu na Mtendaji wa kata ya Luhembe Bw.Richard Kigave
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Elias Tarimo wapili toka kulia akifurahia jambo mara baada ya kumkabidhi fedha Bi.Asia Kondo anaeonesha pesa zake ambae ni mjasiriliamali wa kijiji cha Luhembe Mkuu wa Wilaya hiyo alifika katika hafla ya kutoa mikopo kwa wakina mama wajasiriamali wa kijiji hicho iliyotolewa na Vodacom Tanzania,kupitia mradi wake wa “Mwei” unaotoa mikopo isiyokuwa na riba na kurudishwa kwa njia ya M-Pesa,wanaoshuhudia kulia ni Meneja wa Vodacom Foundation Grace Lyon na watatu ni Afisa wa Vodacom Foundation Ally Mbuyu na Mtendaji wa kata ya Luhembe Bw.Richard Kigave
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Elias Tarimo wapili toka kulia akifurahia jambo mara baada ya kumkabidhi fedha Mkuu wa kinamama wajasiriamali wa kijiji cha Luhembe Bi.Mariam Lugoha anaeonesha pesa zake ambae ni mjasiriliamali kijijini hapo, Mkuu wa Wilaya hiyo alifika katika hafla ya kutoa mikopo kwa wakina mama wajasiriamali wa kijiji hicho iliyotolewa na Vodacom Tanzania,kupitia mradi wake wa “Mwei” unaotoa mikopo isiyokuwa na riba na kurudishwa kwa njia ya M-Pesa,wanaoshuhudia kulia ni Meneja wa Vodacom Foundation Grace Lyon na watatu ni Afisa wa Vodacom Foundation Ally Mbuyu na Mtendaji wa kata ya Luhembe Bw.Richard Kigave.
Post a Comment