Baadhi ya wafanyakazi
wa kiwanda cha maguni wakipambana na walinzi wa kiwanda hicho ambao waliwazuia
wapiga picha wa l.T.V na mpiga picha wa Mtandao huu.picha wafanyakazi hao
wakimkwida mlizi wa mtandao huu akimzuia mpiga picha wa I.T.V aliyeshika kamera
wakatia timbwili hilo likiendela mpiga picha wa mtandao huu alikuwa bize kupiga
picha tukio hilo.
Mmoja wa wawafanyakazi
wa kiwanda hicho aliyefahamika kwa jina la Manka Mushi ambaye alioneka kuwa
mstali wa mbele kutetea maslai yake na ya wenzake akiwa chini ya ulizi mkali wa
maaskali wa kiwanda hicho.
Kufutia hali hiyo baadhi
ya wafanyazi hao waliamu kupiga simu mwandishi ambaye alifika
eneo la tukio na mwandishi mwenzake wa l.T.V baada ya waandishi hao kufika
wafanyazi hao walilipuka kwa furaha na kumu kulisukuma geti hilo kwa lengo la
kuwapitisha waandishi hao
Wafanyazi hao kwa
umoja wao walifanikiwa kulivunja geti hilo na kuingia ndani
Hata hivyo katika hali
ya kushangaza walinzi wa kiwannda hicho waliwazuia waandishi hao kuingia ndani
ya kiwanda hicho jambo ambalo lilipingwa vikali na wafanyakazi
hao.
Kufutia walinzi hao
kuwa wachche walizidiwa nguvu na kundi la wafanyazi hao ambao walifanikiwa
kuwapitisha waandishia ambao hadi ofisi ya meneja wa kiwanda hicho ambaye
inasemeka ndiye aliyetoa amari ya waandishi hao kutoluhusia kuingia ndani ya
kiwanda hicho
Katika hatua nyingian
wakatin wafanyazi wazawa wakidai mafao yao wafanyakazi wa kigeni[Wachini] walimu
kuingia ndani ya basi dogo la kiwanda hicho na kutoka nje
Basi la kiwanda hicho likiwaondoa wachina hao
Baada ya waandishi hao kuingia ndani ya kiwanda hicho
kwa mbinde walishuhudia baadhi ya wafanyazi wengine wakiendele na kazi ya
kusindika maguni kwenye kiwanda hicho,Wakizungumza na waandishi hao wafanayakazi hao
waliofura hasira walidai kwamba kutokana na kiwanda hicho kukabiliwa na ukata
mkali uongozi uliamua kuwapunguza kazi baadhi ya wafanyazi na kuahidi kuwalipa
mafao yao ndani ya wiki moja.'Wametuambia ijumaa tuje kuchukua mafao wetu tulipofika hapa wametuambia tuje jumamosi ya wiki nyingine ndio leo tumekuja wanatuambaie tuje jumatao huu ni usanii wanaotuletea mimi nimetoka moshi kuja kutafuta sikuja kuuza sura hapa hatuondoki mpaka tulipwe jasho letu'aliseme Manka Mushi kwa jazba kali.Kwa mujibu wawafanyazi hao uongozzi huo umekuwa ukiwazungusha kuwalipa mafao yao hayo hivyo kuamu kudai haki yao kwa nguvu.
Waandishi walifika ofisni kwa meneja wa kiwanda hicho kwa lengo la kusiki akauli ya uongozi wa kiwanda hicho zidi ya madaia ya wafanyakazi hao,hata hivyo katika hali ya kushangaza meneo ja huo alioneka kuwakwepa waandioshi hao kwa kutokea mlango wa nyumba.Wafanyazi hao walidai kwamba kiwanda hicho kina milikiwa na mbunge mmoja kutoka kanda ya kati ambaye pia ni mfanyabiashra maafuru jijiji Dar es salaama
Post a Comment