Taifa Stars imefika salama
jijini Addis Ababa tayari kwa mechi ya kirafiki dhidi ya wenyeji Ethiopia. Mechi
hiyo inataraijiwa kuchezwa kesho (Januari 11) Addis Ababa Stadium kuanzia saa
11.30 jioni ambpo majira ya ( Tanzania na Ethiopia hatupishani saa). Stars
imefikia katika Hoteli Hilton. Itafanya mazoezi leo jioni katika uwanja wa Addis
Ababa kwa saa moja kuanzia saa 11.30 jioni.

Post a Comment