Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof.Makame M,Mbarawa wapili kushoto akisalimiana na Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Said Ali mbarouk mara alipowasili katika ufunguzi wa Kituo cha Kurushia Matangazo ya Redio masafa ya kati(MIDIUM F)huko Bungi Wilaya ya Kati Unguja.
Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Prof.Makame M,Mbarawa akikunjuwa Kitambaa kuashiria
ufunguzi wa Kituo cha Kurushia Matangazo ya Redio masafa ya kati(MIDIUM F)huko
Bungi Wilaya ya Kati Unguja.ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 49 ya
Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Prof.Makame M,Mbarawa akitoa hotuba katika sherehe
za ufunguzi wa Mitambo ya Matangazo ya Redio masafa ya kati(MIDIUM F)huko Bungi
Wilaya ya Kati Unguja.ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 49 ya
Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo wa
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Said Ali mbarouk akitoa hotuba ya
kumkaribisha Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Prof.Makame M,Mbarawa katika sherehe za ufunguzi wa Mitambo ya
Matangazo ya Redio masafa ya kati(MIDIUM F)huko Bungi Wilaya ya Kati
Unguja.
Post a Comment