Mheshimiwa Balozi, Peter Kallaghe, akipokea zawadi ya
CD na DVD kutoka kwa Wanainjili hao Dada Flora Mbasha na Mumewe Bwana E. Mbasha.
Wanainjili hao wakiwa nchini Uingereza, walitembelea Miji ya Glasgow, Chemsford
na Reading na wanatarajiwa kurejea Tanzania kesho siku ya Ijumaa
11/01/2013
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mheshimiwa Peter
Kallaghe, akiwa kwenye picha ya pamoja na wanamuziki maarufu wa Kimataifa wa
nyimbo za Injili Dada Flora Mbasha na Mumewe Bwana E. Mbasha (Kulia), Askofu
Ernest Irungu, ambaye ni Kiongozi wa nyimbo za Injili na ni Mkuu wa Chuo cha
Vision College of Theology kilichopo London, Uingereza, mama Zest Irungu (mke wa
Bishop Irungu) na Bibi. Mwambola, walipotembelea Ofisi za Ubalozi jana. Bwana na
Bibi Mbasha wapo nchini Uingereza, wakitokea Amerika kujitangaza na kutangaza
Injili.
Post a Comment