Washiriki wa shindano la Guinness Football Challenge
wakiwa katika picha ya pamoja tayari kwa ukaguzi wa kuingia Uwanja wa ndege wa
Julius Nyerere kuelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kushiriki shindano
la Guinness Football Challenge litalofanyika katika jiji la Johannesburg kwa
muda wa siku kumi.
Baadhi ya Washiriki wa
shindano la Guinness Football Challenge wakiwa tayari kwa ukaguzi wa
kuingia Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kuelekea nchini Afrika Kusini
kwa ajili ya kushiriki shindano la Guinness Football Challenge
litalofanyika katika jiji la Johannesburg kwa muda wa siku kumi.

Post a Comment