MISS Temeke 2006/07 mwenye ‘taito’ kibao Bongo, Jokate Mwegelo anadaiwa kuchumbiwa kwa siri nyumbani kwao, Songea mkoani Ruvuma alipokwenda kusherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya, Ijumaa Wikienda limenyetishiwA
Sosi huyo aliendelea kudai kuwa nyumbani kwa akina Jokate ambaye aliapa kuwa lazima mwaka huu aolewe, kulikuwa na wageni wengi ambao miongoni mwao ndiyo waliopeleka posa.
Baada ya habari hizi kutua mezani, Ijumaa Wikienda lilizungumza na Jokate kwa njia ya simu ambaye alikiri kwenda kwao Songea lakini hakutaka kudadavua ishu ya kuchumbiwa.
“Mh! Watu ni wambeya jamani! Mimi nilienda kwetu na ninatarajia kufanya kitu kikubwa huko Songea mtakisikia ‘soon’,” alisema Jokate huku akicheka.
Post a Comment