Meneja Uchapishaji wa Shirika la
Magazeti la Serikali(TSN) John Mcharo(kushoto) akitoa maelezo kwa Waziri
wa Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara(wa pili
kushoto) jinsi wanachapisha magazeti leo jijini Dar es salaam
alipowatembelea ili kujionea shughuli mbalimbali zinazoendeshwa na
Shirika la Magazeti ya Serikali. Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya TSN
Profesa Moses Warioba( wa tatu kushoto), Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la
Magazeti ya Serikali(TSN) Gabriel Nderumaki (wa pili kulia) na
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (kulia).
Kaimu Mhariri Mteandaji wa Shirika
la Magazeti ya Serikali (TSN) Gabriel Nderumaki akitoa maelezo kwa
Waziri wa Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo Dkt Fenella
Mukangara(katikati) jinsi wanavyohariri habari mbalimbali leo jijini
Dar es salaam alipowatembelea ili kujionea shughuli mbalimbali
zinazoendeshwa na Shirika la Magazeti ya Serikali.
Kaimu Mhariri Mtendaji wa Shirika
la Magazeti la Serikali (TSN) Gabriel Nderumaki(wa pili kulia)
akisisitiza jambo kwa Waziri wa Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo
Dkt Fenella Mukangara (kushoto) jana leo jijini Dar es salaam
alipowatembelea ili kujionea shughuli mbalimbali zinazoendeshwa na
Shirika la Magazeti ya Serikali. Wengini ni Mwenyekiti wa Bodi ya TSN
Profesa Moses Warioba( wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa Idara ya Habari
(MAELEZO) Assah Mwambene.
Waziri wa Habari , Vijana ,
Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara akijionesha jinsi kurasa za
magazeti ya Shirika la Magazeti ya Serikali (TSN) zinavyosanifiwa na
wasanifu jana leo jijini Dar es salaam alipowatembelea ili kujionea
shughuli mbalimbali zinazoendeshwa na Shirika la Magazeti ya
Serikali.Picha na MAELEZO- Dar es salaam
Chanzo: Michuzi Blog
Post a Comment