Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Benno Ndulu (kulia) akibadilishana mawazo na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, kutoka kulia Joseph Butiku, Prof. Mwesiga Baregu (katikati), na Dkt. Sengondo Mvungi mara baada ya kumalizika kwa mkutano baina yao uliofanyika leo jumatatu januari 28, 2013. Ujumbe wa BOT ulikutana na Tume na kuwasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya.
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Profesa Benno Ndulu (kulia)akibadilshana mawazo na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, kutoka kulia Joseph Butiku (kushoto)na Profesa Mwesiga Baregu (katikati) mara baada ya kumalizika kwa mkutano baina yao uliofanyika leo jumatatu januari 28, 2013. . Ujumbe huo wa BOT ulikutana na Tume na kuwasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya.
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Prof. Benno Ndulu( kushoto) akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (kulia).mara baada ya kumalizika kwa mkutano baina yao uliofanyika leo jumatatu januari 28, 2013. Ujumbe huo wa BOT ulikutana na Tume na kuwasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya.(PICHA NA TUME YA KATIBA).