Baadhi
ya wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais wakimsikiliza
Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Mh. Samia Suluhu
Hassan (hayupo pichani) alipokuwa akifungua kikao cha siku mbili katika Hotel ya
Hilux mjini Morogoro.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Mh. Samia Suluhu Hassan (katikati)
akifungua kikao cha siku mbili cha Baraza la wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa
Rais. Kikao hicho kinafanyika Mkoani Morogoro. Wa kwanza kulia ni Katibu Mkuu
Ofisi ya Makamu wa Rais Ndg. Sazi Salula na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi
ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava.
Post a Comment