Wakazi wa kijiji
cha Bagilo kata ya Kinole halmashauri ya wilaya ya Morogoro wakiwamwangalia
simba aliyeuawa na askari wa wanyamapori wa halmashauri hiyo baada ya simba huyo
kukamata na kuua mbuzi 47 katika vijiji vitano tofauti vya tarafa ya Mkuyuni
mkoani hapa jana.
PICHA NA WWW.JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
PICHA NA WWW.JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
Mmiliki wa blog Juma Mtandaa akimkagua Simba huyo mara
baada ya kufikishwaa katika ofisi za Maliasi mkoa wa Morogoro muda mfupi kabla
ya kuchunwa ngozi kwa mnyama huyo.
Afisa wanyamapori halmashauri ya wilaya ya Morogoro Iddi
Ndabagenga akimkagua simba huyo.
Askari wa
wanyamapori wa halmashauri ya wilaya ya Morogoro Abdallah Mayingi kushoto na
Jontas Sume kulia ndiyo waliohusika katika zoezi la kumua simba
huyo.
Hapa zoezi la
kumchuna ngozi likiufanyika katika ofisi za maliasili Morogoro.
Post a Comment