Mkurugenzi Wa Kampuni ya Montage
Bi Teddy Mapunda akifungua tafrija ya Kuchangisha Pesa kwaajili ya
Wanawake wenye matatizo kwa Kumkaribisha Mgeni Rasmi ambaye pia Ni
Mwenyekiti wa WAMA na Mke wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Salma
Kikwete katika hafla inayofanyika Usiku huu katika Hoteli ya Serena
Mwenyekiti wa WAMA na Mke Wa
Raisi Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Salma Kikwete akitoa neno
wakati alipokaribishwa kusema chochote kama mgeni rasmi katika hafla ya
kuchangisha pesa kwaajili ya wanawake Tanzania iliyoandaliwa na kampuni
ya Montage Limited inayofanyika Usiku Huu katika Hoteli ya Serena
Baadhi ya Wahudhuriaji wa Hafla hiyo
Msanii
Kutoka Nchini Tanzania Barnaba akitumbuiza katika hafla ya kuchangisha
pesa kwaajili ya wanawake Tanzania hafla inayoendelea kufanyika katika
Hoteli ya Serena Usiku Huu
credits: Lukaza Blog
Post a Comment