Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

DK.SHEIN AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA OMAN NA UNESCO.

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein, (kushoto) akisalimiana na Dk.Rawya Saud Al Busaid, Waziri wa Elimu ya Juu wa Nchini Oman, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein, (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Irina Bokovas, akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein, (kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Elimu,Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Irina Bokovas,akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein, (kulia) akizungumza na Waziri wa Elimu ya Juu wa Nchini Oman Dk.Rawya Saud Al Busaid, ,pamoja na ujumbe aliofuatana nao walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top