Jaji Laurance Kaduri wa
mahakama kuu kanda ya Dodoma akikagua gwaride la kuashiria kuanza kwa vikao vya
mahakama hiyo vitakavyochukua mwezi mmoja kuanzia leo (11/2/2013).Vikao hivyo
vinaendelea katika mahakama ya hakimu mkazi mjini
Singida.
Kikosi cha askari 50 wa
kutuliza ghasia mjini Singida kikitoa heshima kwa jaji Laurance
Kaduri.
Post a Comment